Zimepita siku kadhaa baada ya sakata hili kupamba moto mtandaoni na huku watu wengi wakiwa wameachwa midomo wazi juu ya ukweli halisi wa hili jambo.

Jambo linaloshtua zaidi ni kuhusu ukimya wa Rayvanny juu ya swala hili huku Paula Akijibu kwa kuwataka radhi mashabiki zake na kudai kua alishinikizwa kufanya kile kitu.

Hivi punde Harmonize amejitokeza na kujibu tukio hilo ni kama udharirishaji na Rayvanny kaidharau serikali.Soma ujumbe wa Harmonize kwa Rayvanny hapa: